Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa harambee ndogo ya kuchangia upauaji wa kanisa Katoliki, kigango cha Mtakatifu Salome Kana cha jijini Dar es salaam, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Baraza la Maaskofu (TEC) Kurasini jijini Dar es salaam Zaidi ya Shilingi milioni 56 zilichangwa. Kutoka kulia ni Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es salaam, Titus Mdoe,Padri Amantus Chitumbi, Padri James haule na wapili kulia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaa, Raymoud Mushi. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa harambee ndogo ya kuchangia upasuaji wa kanisa Katoliki kigango cha Mtakatifu Salome Kana cha jijini Dar es salaam, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Baraza la Maaskofu (TEC) Kurasini jijini Dar es salaam Zaidi ya Shilingi milioni 50 zilichangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la dar es salaam, Mhashamu, Titus Mdoe (kulia) kuelekea ukumbi wa Baraza la Maaskofu (TEC) Kurasini jijini Daes es salaam kushiriki katika harambee ya kuchangia upauaji wa Kanisa Katoliki, Kigango cha Mtakatifu Salome Kana cha jijiniDar es salaam . Kushoto ni Makamu wa Katibu wa TEC, Padri Marandu na Wapili kulia ni Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Monica ya Kilungule, Padri Amantus Chitumbi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment