Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, July 4, 2014

SKYLIGHT BAND WAZIDI KUWASHIKA MASHABIKI WA JIJI LA DAR,SASA KUWALIPIA WASHINDI WA KUCHEZA STAILI YA KIKUKU USAFIRI,TIKETI NA VINYWAJI KWENYE SHOW ZAO

Kijana Machachari wa Skylight Band Donode(kushoto)akilianzisha Taratibuuuu Ijumaa iliyopita Ndani  ya Thai Village akipewa Sapoti Na Sony Masamba.Sasa mashabiki na wapenzi wa Skylight Band Kila wiki wanashindanishwa kucheza staili yao matata ya Kikuku na washindi hupatiwa hupatiwa ofa ya kulipiwa vinywaji,kiingilio na usafiri,Mwanzo ulikuwa Ijumaa iliyopita ambapo washindi walipewa ofa hiyo pamoja na kuhudhuria show yao kali iliyopigwa ndani ya Dar Live.
Meneja Her self wakuitwa Aneth Kushaba akiimba kwa Hisia kali Ijumaa iliyopita
Chezea Meneja weweeee Ni kazi na furaha ya kutosha Ndani ya Skyligt Band hapo akifurahia sauti yake Tamuuuuu
Digna Mpera akipiga vocal zake nzuriiiii na Tamuuu kuwapa burudani mashabiki wake ndani ya Thai Village Usikose Ijumaa Ya Leo
Mary Lukos akitiririsha vocal kali na zenye ujazo  ndani ya Thai village Ijumaa Iliyopita
Anaitwa Tony Bass huyu ni mpiga Bass Gitaa lakini unaambiwa Skylight Band Ni chuo sasa akaacha gitaa lake na kuanza kupiga vocal kali pamoja na kikosi kizima cha Skylight Band
Unaambiwa mwanaume kazii Hapo ni Sony Masamba akiimba kwa Hisia kaliiii kabisaaa ndani ya Thai Village
Kikosi  Bendi matata inayosumbua kwa Sasa Mjini wakitoa show ya nguvu mbele ya Mashabiki wao kutoka kushoto ni Hashimu Donode,Mary Lukos,Aneth Kushaba(AK 47) na Digna Mpera
Wanasema Hivi mwanamke ni pambooo sasa hebu watazame hao Divas wa Skylight Band walivyopendeza huku wakiimba muziki mzuri na kwa raha kabisa Hiyo ilikuwa Ijumaa Iliyopita ndani Ya Thai Village
Daudi Tumba akipiga Tumba zake kwa Raha kabisaaaa kazi na furaha vikiwa pamoja muziki mzuri unaupata Njoo Leo Thai Village

 
Idrisaaaa akizicharanga ipasavyooo Drums zake ili kutoa muziki mzuriii kwa Mashabiki
Mosee Kinanda akizipanga ala zake vizuriii kabisaaaa ili kuwapa raha mashabiki wake ndani ya Thai village
Mpiga Gita la Bass wa Skylight akizimaliza nyuzi za gitaaa hilo kwa Furaha kabisaaaa,Kwa mbaliiii Aneth Kushaba Akiyarudi Mangoma
Allen Kiso Mpiga Gitaaa La Solo wa Skylight Band Akilicharaza Gitaa Lake kwa Raha kabisaaa
Sam Mapenzi Wa kwanza Kulia akiongoza majembe wenzake Sony Masamba(katikati) na Joniko Flower wa Mwisho kushoto kutoa Burudani ya Nguvuuuu ndani ya Thai Village
Weweee majembe Kaziniii wacha mchezo kabisaaaa
Maiii Maiiii weeeeee Aiii Sebeneeee Sebeneeeeee
Hawadondokiii hao bali ni mikogo ya staili kali za vijana hawa wa Skylight Band


Wazee wa Jsp wakina na Joniko Flower(katikati) pamoja na Mratibuu Rubeyaaa wakipata Ukodak wa nguvu huku wakimpa maelekezo Joniko
Unapokuwa Ndani ya Thai Village na Skylight Band Wapo basi furaha kwa mashabiki huwa kama hivi ni vichekooo tuuu
Nakwambia Hiviii usikose ijumaa Hii Mtazame jamaa hapo yani kwa Rahaaa zakeee hana shida na Mtu anacheza kwa furahaaa kabisaaa njooo ucheze muziki mzuri na Skylight Band
Kama Kawaida Huwa Panajaaa na Kufurikaaa Thai Village sababu ni Moja Tuuu Muziki mzuriii Wa Skylight Band,Si unamuona mzungu mwenyewe kapagawa na Majembe
Nyomiii la kutosshaaa wakifurahiiii
Sasa Hapa Mashabiki wakajipanga na Kuanza kushindana kucheza Staili ya Kikukuu
Hapo sasaaa Twende Mbeleeeeee
Mikono juu Mikono Juuu mashabiki Hawa wakiendelea kushindania Ofa ya Kulipiwa vinywaji,tiketi na usafiri kwenye Show za Skylight Band
Ana Manyoyaaaaa Huyooooo Kwioooo Kwiooo Shabiki akionysha umahiri wake kucheza staili ya kikukuuuu
Mwanadada akapnda Jukwaani kuonyesha umahiri wake wa kucheza kikukuuuu
Wacha weeee na mikanda ya chuma chumaaaa  Safiii kabisa.dada aliwakuna Mary Lukos na Sony Masamba
Ana Manyoyaaaa Huyoooo Kwiooo Kwiooooooo
Jembe ni Jembe akavutiwa sana na huyu dada kwa kucheza vizuri staili ya kikukuuu na akaamua kumtunzaaa
Kwiooo kwiooo Kwioooo Kikuuuu Huyoooooo Ana manyoyaaa huyooooo,Na mwanadada huyu akaibuka mshindi kwa wiki iliyopita na kupewa ofa ya usafiri bure,vinywaji bureee na kiingilio
ashabiki wakachezeshwa kidogoooo na mduraaaa,si unaona hapo wa nyuma nyumaa na wa mbele mbeleeeeeee
Ni Furahaaa kwa kila mmojaaaa ndani ya Thai Village Usikoseeee Leo Unawezaa ukawa wewe ndiye mshindi

No comments:

Post a Comment