Msanii kutoka pande za Naija aka Nigeria Davido aka Mr.
Awards baada ya kuchukua tuzo za MTV MAMA kama best male na ingine ile ya BET
tuzo zote zikiwa ni za mwaka 2014.
Davido ameanza kuonyesha uwezo wa kipesa baada ya kununua
headphone yenye dhahabu aina ya 24-carat gold.
Pamoja na kufanya muziki
na inavyosemekana unaweza kuwa juu kifedha si kwa Nigeria tu bali kwa
Bara la Afrika pia.
According to the ranking, apart from managing his own HKN
label, the Aye crooner was said to pocket nothing less than N3 million per show.
No comments:
Post a Comment