JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA POLISI TANZANIA
NDUGU WANAHABARI, MTAKUMBUKA KUWA WIKI MOJA ILIYOPITA JESHI
LA POLISI LILITOA TAARIFA KWA UMMA JUU YA WATUHUMIWA SITA WALIOKAMATWA NA
KUFIKISHWA MAHAKAMANI KUHUSIANA NA TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU ULIOTOKEA TAREHE
07/07/2014 KATIKA MGAHAWA WA VAMA ULIOPO MAENEO YA VIWANJA VYA GYMKANA JIJINI
ARUSHA.
TAARIFA HIYO ILIZUNGUMZIA PIA TUKIO LA KUKAMATWA KWA
MTUHUMIWA MMOJA AMBAYE BAADA YA KUPEKULIWA NYUMBANI KWAKE ALIKUTWA NA MABOMU
SABA YA KURUSHA KWA MKONO, RISASI SITA ZA BUNDUKI AINA YA SHOT-GUN PAMOJA NA
UNGA WA BARUTI. TULIELEZA PIA KUWA OPERESHENI YA KUKAMATA WATUHUMIWA WENGINE
KUHUSIANA NA MATUKIO YA MILIPUKO YA MABOMU NA TINDIKALI ILIKUWA IKIENDELEA, NA
KWAMBA WATUHUMIWA KADHAA WALIKUWA CHINI YA ULINZI WA POLISI KUHUSIANA NA
MATUKIO HAYO.
KUTOKANA NA OPERESHENI HIYO ENDELEVU, WATUHUMIWA WENGINE
KADHAA WAMEKWISHA KAMATWA NA KUHOJIWA, AMBAPO USHAHIDI ULIOKUSANYWA UMEBAINI
KUWA KATI YAO WATUHUMIWA ISHIRINI NA MOJA (21) WANAHUSIKA
KATIKA MATUKIO MBALIMBALI YA ULIPUAJI MABOMU NA KUMWAGIA WATU TINDIKALI HAPA
JIJINI ARUSHA KATIKA KIPINDI CHA KUANZIA MWAKA 2012 HADI YALE YALIYOTOKEA
KATIKA KIPINDI CHA HIVI KARIBUNI. WATUHUMIWA HAO WANATAZAMIWA KUFIKISHWA
MAHAKAMANI TAREHE 01/08/2014 KUUNGANA NA WENZAO WALIOKWISHA TANGULIA ILI KUJIBU
MASHITAKA YANAYOWAKABILI. UFAFANUZI WA WATUHUMIWA WALIOKAMATWA NA MATUKIO
WALIYOHUSIKA NAYO NI KAMA IFUATAVYO:
I. TUKIO
LA MLIPUKO WA BOMU NYUMBANI KWA SHEKH ABDULKARIM JONJO TAREHE 25/10/2012
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1. YUSUPH S/O
HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO
2. KASSIM S/O
IDRISA RAMADHAN, MRANGI, MIAKA 34, MKAZI WA NGUSERO BANDA MBILI, DEREVA
BODABODA FRIENDS CORNERLL
3. MUSTAPHA S/O
MOHAMED KIAGO, MZIGUA, MIAKA 49, MKAZI WA KALOLENI, NI SHEKH MSIKITI MKUU WA
IJUMA
4. ABDUL-AZIZ S/O
MOHAMED, MCHAGA, MIAKA 49, MKAZI WA ENEO LA FAYA, ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI MKUU
WA IJUMAA
II. TUKIO LA
MLIPUKO WA BOMU KANISA LA ST. JOSEPH MFANYAKAZI OLASITI LA TAREHE 05/05/2013
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1. YUSUPH S/O
HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO.
2. RAMADHAN S/O
HAMAD WAZIRI, MRANGI, MIAKA 28, MKAZI WA KWA MOROMBO.
3. ABDUL S/O
MOHAMED HUMUD @ WAGOBA, MMANYEMA, MIAKA 30, MKAZI WA MURIET, WAKALA WA MABASI
YA MOHAMED TRANS (AMEKWISHAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU
MGAHAWA WA VAMA)
4. JAFAR S/O LEMA,
MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA
FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
5. SAID S/O MICHAEL TEMBA, MCHAGA, MIAKA 42, MKAZI WA
SINONI- UNGA LTD, MFANYABIASHARA SOKO LA KILOMBERO (AMEKWISHAFIKISHWA
MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
6. KASSIM S/O
IDRISA RAMADHAN, MRANGI, MIAKA 34, MKAZI WA NGUSERO BANDA MBILI, DEREVA
BODABODA FRIENDS CORNER
7. ABASHAR S/O
HASSAN OMAR, MRANGI, MIAKA 24, MKAZI WA NGUSERO MWISHO WA HIACE, DEREVA
BODABODA STAND KUU ARUSHA
8. ABDULRAHAMAN S/O
JUMANNE HASSAN, MBONDEI, MIAKA 41, MKAZI WA SINONI, MFANYAKAZI WA STANBIC BANK
ARUSHA
9. MORRIS S/O JOHN
MUZI, MUHA, MIAKA 44, MKAZI WA KALINZI MKOANI KIGOMA
10. NIGANYA S/O HAMISI NIGANYA, MUHA, MIAKA 28, MKAZI WA
BUSINDE UJIJI MKOANI KIGOMA
11. BARAKA S/O NTEMBO BILANGO, MUHA, MIAKA 40, MKAZI WA
KALINZI MKOANI KIGOMA
12. HASSAN S/O ABDALLAH OMAR, MNYATURU, MIAKA 40, MKAZI WA
ILONGERO MKOANI SINGIDA
III. TUKIO LA
MLIPUKO WA BOMU VIWANJA VYA SOWETO KWENYE MKUTANO WA CHADEMA TAREHE 15/06/2013
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1. YUSUPH S/O
HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO
2. ABDUL S/O
MOHAMED HUMUD @ WAGOBA, MMANYEMA, MIAKA 30, MKAZI WA MURIET, WAKALA WA MABASI
YA MOHAMED TRANS (AMEKWISHAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU
MGAHAWA WA VAMA)
3. JAFAR S/O LEMA,
MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA
FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
4. SAID S/O MICHAEL TEMBA, MCHAGA, MIAKA 42, MKAZI WA
SINONI- UNGA LTD, MFANYABIASHARA SOKO LA KILOMBERO (AMEKWISHAFIKISHWA
MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
5. KASSIM S/O
IDRISSA RAMADHAN, MRANGI, MIAKA 34, MKAZI WA NGUSERO BANDA MBILI, DEREVA
BODABODA FRIENDS CORNER
6. RAMADHAN S/O
HAMAD WAZIRI, MRANGI, MIAKA 28, MKAZI WA KWA MOROMBO
7. ABASHAR S/O
HASSAN OMAR, MRANGI, MIAKA 24, MKAZI WA NGUSERO MWISHO WA HIACE, DEREVA
BODABODA STAND KUU ARUSHA
8. ABDULRAHAMAN S/O
JUMANNE HASSAN, MBONDEI, MIAKA 41, MKAZI WA SINONI, MFANYAKAZI WA STANBIC BANK
ARUSHA
9. MORRIS S/O JOHN
MUZI, MUHA, MIAKA 44, MKAZI WA KALINZI MKOANI KIGOMA
10. NIGANYA S/O HAMISI NIGANYA, MUHA, MIAKA 28, MKAZI WA
BUSINDE UJIJI MKOANI KIGOMA
11. BARAKA S/O NTEMBO BILANGO, MUHA, MIAKA 40, MKAZI WA
KALINZI MKOANI KIGOMA
12. HASSAN S/O ABDALLAH OMAR, MNYATURU, MIAKA 40, MKAZI WA
ILONGERO MKOANI SINGIDA
IV. TUKIO LA
KUMWAGIWA TINDIKALI SHEKH SAID JUMA MAKAMBA WA MSIKITI WA KWA MOROMBO TAREHE
11/07/2013
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1. YUSUPH S/O
HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO
2. RAMADHAN S/O
HAMAD WAZIRI, MRANGI, MIAKA 28, MKAZI WA KWA MOROMBO.
3. KASSIM S/O
IDRISA RAMADHAN, MRANGI, MIAKA 34, MKAZI WA NGUSERO BANDA MBILI, DEREVA
BODABODA FRIENDS CORNER
4. JAFAR S/O LEMA,
MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA
FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
V. TUKIO LA
KUMWAGIWA TINDIKALI SHEKH MUSTAPHA KIAGO WA MSIKITI MKUU LA TAREHE 28/02/2014
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1. YUSUPH S/O
HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO
2. KASSIM S/O
IDRISSA RAMADHAN, MRANGI, MIAKA 34, MKAZI WA NGUSERO BANDA MBILI, DEREVA
BODABODA FRIENDS CORNER
3. JAFAR S/O LEMA,
MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA
FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
4. HASSAN S/O ALLY
MFINANGA, MPARE, MIAKA 57, MKAZI WA MAKAO MAPYA, BIASHARA
VI. TUKIO LA
BOMU ARUSHA NIGHT PARK (MTK) LA TAREHE 13/04/2014
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1. JAFAR S/O LEMA,
MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA
FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
2. IBRAHIM S/O
LENARD @ SHEKH ABUU ISMAIL, MSUKUMA, MIAKA 37, MKAZI WA MABATINI MKOANI MWANZA.
VII. TUKIO LA BOMU
NYUMBANI KWA SHEKH SUDI ALLY SUDI LA TAREHE 03/07/2014
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1. YAHAYA S/O
TWALIB TWAHIR @ MPEMBA, MSAMBAA, MIAKA 37, MKAZI WA MTAA WA JALUO,
MFANYABIASHARA YA DUKA MTAA WA BONDENI
2. IDD S/O RAMADHAN
YUSUPH, MSAMBAA, MIAKA 23, MKAZI WA MTAA WA JALUO.
3. SAID S/O MICHAEL TEMBA, MCHAGA, MIAKA 42, MKAZI WA
SINONI- UNGA LTD, MFANYABIASHARA SOKO LA KILOMBERO (AMEKWISHAFIKISHWA
MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWAWA VAMA)
4. ANWAR S/O NASHER
HAYEL, MNYAMWEZI, MIAKA 29, MKAZI WA
NGULELO, MFANYABIASHARA
5. JAFAR S/O LEMA,
MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA
FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
6. HASSAN S/O ALLY
MFINANGA, MPARE, MIAKA 57, MKAZI WA MAKAO MAPYA, BIASHARA
7. YUSUPH S/O ALLY
RAADHAN @ SEFU, MPARE, MIAKA 23, MKAZI WA NGUSERO
8. ABASHAR S/O
HASSAN OMAR, MRANGI, MIAKA 24, MKAZI WA NGUSERO MWISHO WA HIACE, DEREVA
BODABODA STAND KUU ARUSHA
VIII. TUKIO LA
KUPATIKANA NA MABOMU LA TAREHE 21/07/2014
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1. YUSUPH S/O
HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO
2. SUMAIYA W/O
YUSUPH HUSEIN ALLY, MWASI, MIAKA 19, MKAZI WA NGUSERO.
3. RAMADHAN S/O
HAMAD WAZIRI, MRANGI, MIAKA 28, MKAZI WA KWA MOROMBO.
4. HASSAN S/O ALLY
MFINANGA, MPARE, MIAKA 57, MKAZI WA MAKAO MAPYA, BIASHARA
5. ABASHAR S/O
HASSAN OMAR, MRANGI, MIAKA 24, MKAZI WA NGUSERO MWISHO WA HIACE, DEREVA BODABODA
STAND KUU ARUSHA
6. KIMORO S/O ISSA
MCHANA @ OMAR @ ABUU TWALIB, MRANGI,
25YRS, MKAZI WA ITOLWA KONDOA
7. HASSAN S/O
ABDALLAH OMAR, MNYATURU, MIAKA 40, MKAZI WA ILONGERO MKOANI SINGIDA.
8. MORRIS S/O JOHN
MUZI, MUHA, MIAKA 44, MKAZI WA KALINZI MKOANI KIGOMA
9. NIGANYA S/O
HAMISI NIGANYA, MUHA, MIAKA 28, MKAZI WA BUSINDE UJIJI MKOANI KIGOMA
10. BARAKA S/O NTEMBO BILANGO, MUHA, MIAKA 40, MKAZI WA
KALINZI MKOANI KIGOMA
IX. KOSA LA
KUHAMASISHA VITENDO VYA KIGAIDI KUPITIA MTANDAO WA KIJAMII
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1. IBRAHIM S/O
LENARD @ SHEKH ABUU ISMAIL, MSUKUMA, MIAKA 37, MKAZI WA MABATINI MKOANI MWANZA.
2. ANWAR S/O NASHER
HAYEL, MNYAMWEZI, MIAKA 29, MKAZI WA NGULELO,
MFANYABIASHARA
3. YASINI S/O
MOHAMED SHABAN @ YAKI, MCHAGA, MIAKA 20, MKAZI WA KALOLENI MITA 200
OPERESHENI YA
KUWATAFUTA WATUHUMIWA WENGINE WA MATUKIO HAYA INAENDELEA NCHI NZIMA, NA
TAYARI TUNAYO MAJINA YA WATUHUMIWA KADHAA AMBAO WAMETOWEKA ARUSHA NA KUELEKEA
MAENEO MBALIMBALI YA NDANI NA NJE YA NCHI. MTUHUMIWA MMOJAWAPO ANAYETAFUTWA
SANA NA POLISI KUHUSIANA NA MATUKIO HAYA NI YAHAYA HASSAN HELLA @ SENSEI,
KABILA NI MRANGI, MZALIWA WA KIJIJI CHA CHEMCHEM WILAYA YA KONDOA.
IMEBAINIKA KUWA MTUHUMIWA HUYO NDIYE KINARA WA MATUKIO YA
MILIPUKO YA MABOMU NA TINDIKALI HAPA JIJINI ARUSHA KWA KUSHIRIKIANA NA WENZAKE
WALIOKAMATWA, NA AMBAO BADO WANAENDELEA KUTAFUTWA. JESHI LA POLISI LINAFANYA KILA JITIHADA KUWEZA KUWAKAMATA
WATUHUMIWA WOTE WALIOTOROKA NA KUHAKIKISHA KUWA SHERIA INACHUKUA MKONDO WAKE.
ASANTENI KWA KUNISIKILIZA.
IMETOLEWA NA:-
LIBERATUS M. SABAS – SACP
KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA
31/07/2014
No comments:
Post a Comment