Joseph Mbuza Enzi za uhai wake
Habari Za kusikitisha na zilizofika kwenye dawati letu la Habari ni kwamba Mmiliki wa na mkurugenzi wa Sweet Fm&Sweet Tv Joseph Mbuza Amefariki Dunia Jana usiku.Taarifa na Mipango ya Mazishi tutawajulisha.Mungu aipumzishe roho ya marehemu Mahala Pema Peponi Amin.
JAB yazindua mwongozo wa kisheria wa kuwatunuku waandishi wa habari
wakongwe ithibati ya maisha
-
*Na Mwandishi Wetu.*
*Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imezindua rasmi Mwongozo wa
Kisheria wa Utoaji wa Ithibati ya Maisha kwa Waandishi wa...
6 hours ago


No comments:
Post a Comment