Kwenye kombe la dunia linaloendelea nchini Brazil, Algeria
kutoka Afrika wameingia kwenye headlines zenye rekodi za kudumu kutoka kwenye
mashindano haya baada ya kuwa moja ya timu mbili za Africa zilizogusa kwenye
hatua nzuri kabla ya kutolewa.
Tayari timu hii imerejea nyumbani Afrika ambapo kiukweli
imepokelewa kwa shangwe sana, na naamini hata wengine wasio Waalgeria
wangeipokea timu kama hii kutokana na ilichofanya.
No comments:
Post a Comment