Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, July 11, 2014

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA::KIJANA AUMIA VIBAYA BAADA YA KUGONGWA NA PIKIPIKI

 Kijana aliyetambuliwa kwa jina Moja la Ally jana majira ya saa 2 Usiku aligongwa na pikipiki alipokuwa akivuka barabara kuu ya Morogoro-lringa eneo la Mriti.Ally akiwa katikati ya barabara ya Morogro-lringa baada ya Kutokea ajali kugongwa na pikipiki 
 Askari wa kikosi cha Usalama barabara wakiwasili eneo la tukio Tayari kutoa msaada. 
Habari zilizopatikana eneo la tukio zinadai  baada ya dereva huyo wa pikipiki kumgonga  alikimbia na kumuacha majeruhi huyo akigaaga kwenye barabara hiyo ambapo baadhi ya wananchi walifika eneo la tukio na kumsogeza pembeni asiendele kugongwa na magari mengine
 Ally akiangua kilio baada ya kupatwa na maumivu makali
 Akiingizwa kwenye gari kuelekea hospital ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro


"  alikuwa akivuka barabra kureje nyumbani kwake Chamwino kwa bahati mbaya kuna boda boda litoka upande  wa Msamvu na kumgonga hata hivyo boda boda hiyo baada ya kumgonga alikimbia  Picha na Dustan Shekidele,Morogoro

No comments:

Post a Comment