Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa kuna msikiti uitwao Mtambani eneo la Kinondoni umeteketea kwa moto na wananchi wanaendelea kuuzima moto huo bila mafanikio na ulinzi sio mzuri maana vyombo vya usalama havijafika eneo la tukio. Na pia Zima moto bado hawajafika eneo hilo la tukio kwani wamepewa taarifa. Endelea kutufuatilia kwa habari zaidi
DC ILALA AMALIZA MGOMO WA WAFANYAKAZI ZAIDI YA 1,500 WA KIWANDA CHA NAMERA,
GONGOLAMBOTO
-
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amefanikiwa kumaliza mgomo wa
wafanyakazi zaidi ya 1,500 wa Kiwanda cha NAMERA kilichopo Gongolamboto,
jijini...
1 hour ago


No comments:
Post a Comment