Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akigonganisha glasi na mjukuu
wake Nicole katika mkusanyiko mdogo na
mfupi sana wa kifamilia wa kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake kwenye makazi yake kwenye hoteli ya Stella Maris mjini `Dodoma
August 12, 2014. Wengine pichani ni binti zake, Namsi (kulia) na Yusta. (Picha
DC ILALA AMALIZA MGOMO WA WAFANYAKAZI ZAIDI YA 1,500 WA KIWANDA CHA NAMERA,
GONGOLAMBOTO
-
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amefanikiwa kumaliza mgomo wa
wafanyakazi zaidi ya 1,500 wa Kiwanda cha NAMERA kilichopo Gongolamboto,
jijini...
11 minutes ago


No comments:
Post a Comment