Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 27, 2014

HOT NEWSSS::AJALI YA LORI NA GARI NDOGO YATOKEA ENEO LA MLIMANI CITY NA KUSABABISHA FOLENI KUBWA

 baadhi ya watu wakiangalia ajali hiyo.
 Lori likiwa limepanda kwenye tuta la Barabara ya Sam Nujoma  baada ya kulikwepa gari dogo aina ya Toyota Corrolla.


 ..Askari wa Usalama barabarani akipima ajali hiyo.
Ajali imetokea maeneo ya Mlimani City jijini Dar ikihusisha magari mawili Lori la mafuta na gari dogo aina ya Toyota Corrolla lenye namba za usajili T 716 ARY.
Lori hilo lilikuwa likitokea Ubungo kwenda Mwenge na  gari dogo lilikuwa likitokea Mwenge kwenda Survey. Katika ajali hiyo akuna aliyepoteza maisha  wala  kujeruhiwa.

Picha na Global Whatsapp

No comments:

Post a Comment