Manchester City imepata ushindi wa mabao 3-1 katika mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Liverpool.
Ikiwa nyumbani, City imefanikiwa kushinda kwa mabao hayo yaliyofungwa na Jovetic (mawili) na Sergio Aguero aliyehitimisha la tatu wakati Lambert alifunga moja kwa LIverpool.
Man City: Hart, Zabaleta, Kompany, Demichelis, Clichy, Toure, Fernando, Silva, Nasri, Jovetic, Dzeko.
Subs: Sagna, Milner, Kolarov, Caballero, Jesus Navas, Aguero, Fernandinho.
Liverpool: Mignolet, Johnson, Skrtel, Lovren, Moreno, Henderson, Gerrard, Allen, Coutinho, Sturridge, Sterling.
Subs: Brad Jones, Toure, Lambert, Sakho, Manquillo, Can, Markovic.
No comments:
Post a Comment