Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sita akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo kilichokaa leo kupanga ratiba ya Bunge hilo linaloanza jumanne 5 Agosti 2014 baada ya kuarishwa tarehe 25 Aprili 2014. Picha na Owen Mwandumbya
MIAKA 18 BAADAYE: JK AKUTANA TENA NA CATHERINE, BINTI ALIYEFANYIWA UPASUAJI
WA MOYO AKIWA NA MIAKA MINNE
-
RAIS mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo Mei 29, 2026
amekutana tena na Bi. Catherine P. Conrad Minja, aliyefanyiwa upasuaji wa
moy...
1 day ago

No comments:
Post a Comment