Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan
(aliyebeba mkoba) akiwasili Bungeni kuendelea na majukumu ya Bunge Maalum
la Katiba. Aliyemtangulia mbele ni Mkuu wa Idara wa shughuli za Bunge John Joel.
Mwakilishi wa Watanzania waishio Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge
Maalum la Katiba, Bw. Kadari Singo (kushoto) akifurahia jambo akiwa pamoja na
waandishi wa Habari leo 29 Agosti, 2014 Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, kulia ni Mhe. Stella Manyanya akiwa
amefuatana na Mhe. Reuben Matango wakielekea ndani ya Bunge Singo leo 29
Agosti, 2014 Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma.
Mwakilishi wa Watanzania waishio Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge
Maalum la Katiba, Bw. Kadari Singo (kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe
mwenzie, Mhe. Yusuph Singo leo 29 Agosti, 2014 Bunge Maalum la Katiba mjini
Dodoma.
(Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma)
No comments:
Post a Comment