Audio ya wimbo huu umefanywa hapa hapa Tanzania na producer wa Kitanzania anaitwa Tudd Thomas ambaye ni mkali aliyetengeneza hit single kadhaa za wasanii mbalimbali ikiwemo singo ya Ndagushima ya Ommy Dimpoz na Mdogo Mdogo ya Diamond Platnumz.
Hapa kashiriki kuutengeneza wimbo huu kutoka kwa mwanadada anaewakilisha 254 Victoria Kimani,hii single inaitwa Prokoto ambapo upande wa audio imetolewa miezi michache iliyopita.
Video imefanywa na Director kutoka Kenya Kevin Bosco Jnr ambaye kwa taarifa fupi ni kwamba ameshiriki pia kutengeneza video ya Mtanzania Ney wa Mitego ya Mr. Ney ambayo bado haijatoka.
No comments:
Post a Comment