Gari hiyo ikiwa imeharibika vibaya baada ya ajali.
Ajali hiyo ilitokea majira ya saa tatu na nusu asubuhi huko
Igurusi kilometa 45 kutoka Mbeya Mjini
na kuua dereva aliyefahamika kwa jina
moja la Rashid na mama mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika.




No comments:
Post a Comment