Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, September 20, 2014

DIAMOND AWAPA ZA USO WADADA WANAOOGOPA KUZAAKWA HOFU YA KUPOTEZA MVUTO!

Diamond platnumz katika ururasa wake wa facebook amepost post ambayo ina mashiko sana kwa madada wa kibongo wanaojiona wao wako juu sana wanaona wakiza watapoteza mvuto kwa watu diamond akaamua kufunguka kiivi.
Picha aliyopost Diamond


Kwa mtazamo wangu mimi naona kuzaa hakumfanyi mtu azeeke au awe wa kizamani, ni tabia tu ya mtu mwenyewe.... na ndiomaana dada zetu kama Beyonce, Nancy sumary, Kim Kardashian na kadharika wana watoto na still wanafanya vizuri.....Au we mtazamo wako ukoje?

No comments:

Post a Comment