Kampuni ya mabasi ya Abood yenye maskani Mkoani Morogoro imeingiza Mabasi Mapya na ya
kisasa nchini kwa lengo la kutoa huduma za usafiri kaika mikoa
mbalimbali ya nchini Tanzania.
Mabasi
hiyo zaidi 50 Yameishaingia Nchini Tanzania kwa sasa Taratibu za Kutafuta Kibali na Kumalizia uhakiki wake tayari kuanza Kutoa Huduma. Basi hizo
ambazo zimetengenezwana kampuni ya YUTONG ni tofauti kabisa na mabasi mengine yaaliyokwisha kuingia Nchini Tanzania ndiyo
itakuwa kampuni ya kwanza barani Afrika kuingiza na kutumia aina hii ya
mabasi ya YUTONG.Mabasi hayo
ambayo yametengenezwa kumudu mazingira na hali ya hewa ya Tanzania kwa ujumla kwa hiyo hayatakuwa na usumbufu na matatizo kama
mabasi ya awali ya kampuni hiyo!
No comments:
Post a Comment