Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba,
Andrew Chenge akionyesha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa kabla ya kumkabidhi
Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta kwenye kikao cha Kamati ya Uongozi ya
Bunge hilo, mjini Dodoma jana. Rasimu hiyo inatarajiwa
kuwasilishwa bungeni
leo.Ofisi ya Bunge la Katiba itamtuma ofisa wake kwenda Makka, Saudi Arabia
kusimamia upigaji kura kupitisha Katiba inayopendekezwa kwa wajumbe wa Bunge
hilo wanaokwenda Hijja.


No comments:
Post a Comment