Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 16, 2014

RAIS WA ZANZIBAR AKIWA ZIARANI COMORO

IMG_4245Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akifuatana na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Comoro Dr.Ikililou Dhoinine baada ya  mazungumzo Ikulu Mjini Comoro jana,akiwa katika  ziara ya kiserikali  na ujumbe aliofuatana nao. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]


IMG_4228Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Comoro Dr.Ikililou Dhoinine Ikulu Mjini Comoro jana,Dk.Shein yupo Comoro kwa ziara ya kiserikali akiwa na ujumbe aliofuatana nao. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment