Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, March 24, 2013

JENGO JIPYA LA BENKI KUU YA TANZANIA LINALOJENGWA MJINI DODOMA


Hili ndio jengo jipya la Benki Kuu ya Tanzania linalojengwa Mjini Dodoma pembezoni mwa barabara itokayo dodoma mjini kuelekea Chuo Kikuu Cha Dodoma baada ya ofisi ya Idara ya Maji ya Dodoma Mjini.Jengo hilo ndio zitakuwepo ofisi za Benki Kuu ya Tanzania Kanda ya Kati.
CREDIT JOSEPHAT LUKAZA

No comments:

Post a Comment