Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 16, 2014

SAD NEWSSS:TRAFIKI ALIYEGONGWA NA DALADALA JANA, AFARIKI DUNIA

WP 2806 CPL Riziki, akiwa chini baada ya kugongwa na daladala eneo la Mbagala Rangi 3 jana kabla ya kukimbizwa hospitali.
ASKARI wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina moja la Riziki, WP 2806 CPL Riziki, aliyegongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi


 Tatu jijini Dar es Salaam jana asubuhi amefariki dunia leo.
Mpaka mauti yanamfika, marehemu alikiuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili

No comments:

Post a Comment