Kikosi cha Young Africans tayari kimeshawasili salama mjini
Bukoba majira ya saa sita kamili mchana kwa saa za Afrika Mashariki na jioni
timu inatarajia kufanya mazoezi.
TANZANIA YAJIPANGA KUWA KITOVU CHA UZALISHAJI WA DAWA AFRIKA, YAWAALIKA
WAWEKEZAJI WA CHINA
-
Na John Mapepele, Wu hani - China
Serikali ya Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kujenga sekta imara ya
viwanda vya dawa na kuifanya nchi kuwa kitovu cha...
7 hours ago


No comments:
Post a Comment