Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, October 16, 2014

MULTCHOICE YAWAPIGA MSASA WANAHABARI JIJINI DAR

CNN wakishirikiana na multichoice wafungua semina kwa waandishi wa habari juu ya nini kifanyike ili waandishi wa habari kutoka Tanzani waweze kufanya vizuri katika tuzo za mwandishi bora wa Africa tuzo ambazo mwaka huu zitafanyika Tanzania.Semina hiyo imefanyika jana katika hoteli ya New Africa Hoteli jijini dar es salaam


 Mhariri wa Gazeti ya Citizen la hapa nchini,Bw. Richard Mbamba ambaye ni mmoja kati wanahabari waliowahi kushinda tuzo za "CNN MultiChoice African Journalist of the Year 2008" 

akisisitiza jambo wakati wa Semina ya simu moja kwa wanahabari wa Tanzania juu ya namna wanavyopaswa kufanya kazi zao,iliyofanyika leo katika Hoteli ya New Afrika,jijini Dar es Salaam.Semina hiyo imekuja ikiwa ni siku moja kabla ya kufanyika wa shughuli ya utoaji tuzo hizo za "CNN MultiChoice African Journalist of the Year 2014" itakayofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam Oktoba 18.
Sehemu ya wanahabari waliohudhulia Semina hiyo wakifatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa toka kwa baadhi ya wanahabari nguli barani Afrika walioongoza semina hiyo.
 Mhariri wa Gazeti ya Citizen la hapa nchini,Bw. Richard Mbamba akiendelea kutoa somo kwa wanahabari.
Mhariri wa Gazeti la City Press la nchini Afrika Kusini,Ferial Haffajee akizungumza wakati wa Semina ya simu moja kwa wanahabari wa Tanzania juu ya namna wanavyopaswa kufanya kazi zao,iliyofanyika leo katika Hoteli ya New Afrika,jijini Dar es Salaam.


Mafunzo yakiendelea
Mhariri wa Gazeti la City Press la nchini Afrika Kusini,Ferial Haffajee  akiendelea kutoa mada

Meneja wa Iview akirekodi yanayojiri

Barba Kambogi Toka Dstv Akielezea Jambo
Baadhi ya Wanahabari wa Tanzania wakiuliza maswali kwa wahariri hao.

No comments:

Post a Comment