Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mbunge wa Kawe Mhe
Halima Mdee baada ya ufunguzi rasmi wa
barabara ya Mwenge-Tegeta katika
eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa
barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania
wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Kampeni ya Chanjo ya Polio Yalenga Kuwafikia Watoto 207,096 Jijini Dodoma
-
Na. Mwandishi wetu, DODOMA
Wizara ya Afya kupitia Idara ya Kinga, Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma,
imewataka wananchi wa Jiji la Dodoma kujitokeza na kuw...
4 hours ago


No comments:
Post a Comment