Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, October 30, 2014

TAZAMA PICHA 6 ZA TAPELI ALIYEKAMATWA TABATA SEGEREA BIMA AKIDAIWA KUTAPELI MADUKA YA VIFAA UJENZI,AKATWA SIKIO LA KUSHOTO

 Jamaa anyedaiwa kuwa Tapeli akisikilizia Maumivu baada ya kukatwa Sikio lake
 Jamaa anayedaiwa Tapeli akilia kwa uchunguuu kwa maumivu ya kukatwa sikio
 Akivutwa na Raia




Nimekutana na hiki kisanga cha huyu mtuhumiwa ambae anadaiwa ni tapeli wa maduka ya vifaa vya ujenzi hapa segerea karibu na stand kuu ya daladala kama unatokea kinyerezi. Nimekuta barabara imefunga ndo kuuliza kuna nini naambiwa kuna tapeli kawekwa chini na wameshamkata sikio la kushoto. Mtuhumiwa anadai ametumwa na boss wake pale dukani kwani yeye ni fundi. Nilijitahidi ili wampeleke polisi ili ukweli ujulikane na wakaamua kumpeleka kwa kutumia isuzu carry aka kirikuu. Ila alikuwa na hirizi.Picha na Godfrey Masongo 

No comments:

Post a Comment