Kwa hali isiyo ya kawaida Rais wa Kenya Mh. Uhuru Kenyatta amewasili leo asubuhi kwa ndege ya Kenya Airways kama abiria wa kawaida hili limenukuliwa na wengi kwamba sio kitu cha kawaida kwa rais yeyote duniani anaweza kupanda ndege ya abilia kama alivyofanya rais huyo wa Kenya. Pia rais huyo alitumia ndege ya shirika hilo wakati anakwenda kwenye kesi yake. Rais Kenyatta alikwenda Uholanzi kusikiliza mashtaka yanayomkabili.
Mahakama Babati Yakataa Kuendelea na Kesi ya Mtoto wa Kidato cha Nne
-
*Na Mwandishi Wetu*
*BABATI — Mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Babati mkoani Manyara imesitisha
kusikiliza kesi ya jinai namba 291 ya mwaka 2026 iliyofungu...
46 minutes ago









No comments:
Post a Comment