Zambia inafanya mazishi ya kitaifa ya Rais Michael Sata
ambaye alifariki dunia mwezi uliopita katika hospitali moja nchini Uingereza
akiwa na umri wa miaka 77. Maelfu ya watu wamehudhuria misa maalum iliyofanyika
kwenye uwanja wa Mashujaa jijini Lusaka. Viongozi mbalimbali wa kimataifa ni
miongoni mwa waliohudhuria. Akijulikana kama "King Cobra" kutokana na
matamshi makali, Rais Sata alichaguliwa kuwa rais mwaka 2011. Nchi hiyo kwa
sasa inaendeshwa na kaimu rais, na uchaguzi utafanyika mwezi Januari.
Kamati ya Bunge ya Afya, UKIMWI yaipongeza Barrick Bulyanhulu kuzingatia
kanuni za afya7
-
*Naibu Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa.*
*Mwenyekiti wa Kamati, Hassan Mtenga.*
*Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha akiongea katika kikao cha
w...
35 minutes ago
No comments:
Post a Comment