Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 11, 2014

MWANAMUZIKI MKONGWE WA TWANGA PEPETA,AMIGOLAS AZIKWA MAKUBURI YA KISUTU JIJINI DAR JANA

Waombolezaji wakiuswalia mwili wa marehemu Hamis Zayumba, maarufu kama AMIGOLAS, kabla ya mazishi yake yaliyofanyika leo Jumatatu kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Amigolas ambaye alikuwa mtunzi na mwimbaji mashuhuri wa bvendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta, alifariki Jumapili jijini.
Mwimbaji na mtuzni, Ali Choki, akiwa na uso wa huzuni wakati wa mazishi ya AMIGOLAS, ambaye kipindi gulani walikuwa bendi moja ya Twanga Pepeta
Waombolezaji wakiwemo wasanii maarufu, wakiwa kwenye mazishi.


Waombolezaji na wasanii wakiwemo wanamuziki wakiwa nyumbani kwa marehemu AMIGOLAS, kabla ya mzishi yake.PICHA KWA HISANI YA K-VIS BLOG

No comments:

Post a Comment