Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, November 20, 2014

PICHA : Polisi wakiwaokoa wachezaji Ivory Coast Baada Ya kuvamia Uwanjani


Kufuzu kwa Ivory Coast kucheza fainali za Africa mwakani kumegubikwa na tukio la mashabiki wa nchini humo kuvamia uwanja kwa furaha baada ya kumalizika mchezo huo dhidi ya Cameroon uliomalizika kwa sare 0-0 huko Abidjan.


 
 

No comments:

Post a Comment