Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, December 13, 2014

DIAMOND NA OMMY DIMPOZ KUWANIA TUZO ZA HMA UGANDA 2015

Ommy Dimpoz na Diamond wakipeana mkono wa kheri.
Nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Diamond Platinum na Ommy Dimpoz wametajwa kuwania tuzo za muziki za nchini Uganda ziitwazo HiPipo Music Awards (HMA) 2015 zinazotarajiwa kutolewa rasmi February 07, 2015.
 Diamond na Dimpoz watachuana katika kipengele kimoja cha ‘East Africa Super Hit’ kupitia nymbo zao Ndagushima na Number One original.
 Katika kipengele hicho wakali hao watachuana na Sauti Sol, Jaguar, Eddy Kenzo, Baramushaka, Urban Boys na Bebe Cool.

Aidha, hatua hiyo inaonesha jinsi muziki wa Bongo flava unavyoendelea kufanya vizuri katika soko la muziki la kimataifa na jinsi unavyokubalika kwa kasi kubwa.Ommy Dimpoz na Diamond wakipeana mkono wa kheri.
Nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Diamond Platinum na Ommy Dimpoz wametajwa kuwania tuzo za muziki za nchini Uganda ziitwazo HiPipo Music Awards (HMA) 2015 zinazotarajiwa kutolewa rasmi February 07, 2015.

Diamond na Dimpoz watachuana katika kipengele kimoja cha ‘East Africa Super Hit’ kupitia nymbo zao Ndagushima na Number One original.

Katika kipengele hicho wakali hao watachuana na Sauti Sol, Jaguar, Eddy Kenzo, Baramushaka, Urban Boys na Bebe Cool.

Aidha, hatua hiyo inaonesha jinsi muziki wa Bongo flava unavyoendelea kufanya vizuri katika soko la muziki la kimataifa na jinsi unavyokubalika kwa kasi kubwa.

No comments:

Post a Comment