Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja
na baadhi ya wakuu wa mikoa waliowawakilisha wenzao kwenda ikulu leo kumjulia
hali na kumpa pole kufuatia upasuaji alifanyiwa mwezi uliopita nchini
Marekani.(picha na Freddy Maro)
KAMISHNA MKUU WA TRA ATOA TUZO YA HESHIMA KWA MATI SUPER BRANDS LTD.
-
*Na Mwandishi Wetu.*
*Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda ametoa
tuzo ya heshima kwa kampuni ya uzalishaji wa vinywaji changa...
36 minutes ago
No comments:
Post a Comment