Ismaaiyl Brinsley, 28, anayo historia ya matatizo ya akili
na ujambazi huko nyuma Muuaji aliwauwa polisi waliokuwa wamekaa ndani ya gari
yao ya polisi na baadae Brinsley kukimbilia kwenye kituo cha Treni na kujipiga
risasi na kufa papo hapo baada ya kuwaona
hana pakutokea baada yakuzingirwa na polisi eneo hilo. Watu waliokua karibu na
tukio walimsikia muuaji akiwaambia "watch what I'm going to do" na
baada ya maneno hayo ndipo alipowaua polisi hao kwa kuwapiga risasi vichwani na
juu mwilini maeneo ya kifuani.
WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA SLOVAKIA AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI
-
Waziri wa Mambo ya Nje na Masuala ya Ulaya wa Jamhuri ya Slovakia, Mhe.
Juraj Blanár, amewasili nchini kwa ziara ya kikazi kuanzia Juni 10 hadi 11,
2026,...
7 hours ago


No comments:
Post a Comment