Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, December 31, 2014

MASHABIKI KIBAO WAJITOKEZA KUMPOKEA TORRES AKIREJEA NYUMBANI

Mshambuliaji Fernando Torres rasmi amerejea nyumbani kwao Madrid na kujiunga na klabu yake ya zamani ya Atletico Madrid.

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kumpokea mshambuliaji huyo aliyesota Chelsea na baadaye AC Milan iliyokubalia kumuachia kwa mkopo. Mashabiki hao walikuwa wengi kwenye uwanja wa ndege wakati akiwasili.
Kabla ya kuondoka Atletico na kujiunga na Liverpool, Torres alikuwa nahodha wa klabu hiyo akiwa kinda wa miaka 21 tu.




ENZI HIZO AKIWA ATLETICO..

No comments:

Post a Comment