Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, December 30, 2014

MCHEZO WA MBEYA CITY FC Vs YANGA UMEAHIRISHWA


Salaam, Kwa vile klabu nne za Azam, Mtibwa Sugar, Simba naYanga, timu zao
zitashiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanzaJ Januari 1mwakani kisiwani
Zanzibar; mechi zifuatazo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL)zitapangiwa tarehe nyingine
katikati ya wiki. Mechi husika ni namba 59 (Azam vs Mtibwa Sugar-03.01.2015), namba
61 (Mbeya City vs Yanga- 03.01.2015), namba 62 (MgamboShooting vs Simba-
04.01.2015). Mechi nyingine ni namba 66 (Coastal Union vsYanga- 10.01.2015), namba


67 (Kagera Sugar vs Azam- 10.01.2015), namba 68(Simba vs Mbeya City- 11.01.2015) na
namba 69 (Mtibwa Sugar vs TanzaniaPrisons- 11.01.15).

Wasalaam, Boniface
Wambura Mkurugenzi Idara ya Mashindano Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

No comments:

Post a Comment