Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, December 13, 2014

MFANYABIASHARA AJIUWA KWA KUJIPIGA RISASI

MWEZI mmoja baada ya mfanyabiashara wa Arusha, Timoth Mroki (36) kujiua kwa kujipiga risasi, mfanyabiashara mwingine maarufu wa Moshi, Augustino Mallya, naye amejiua kwa kujipiga risasi akiwa nyumbani kwake Anakoishi eneo la mtaa wa MAGEREZA KARANGA katika Manispaa ya Moshi.
 Mfanyabiashara huyo alikuwa akijishughulisha na biashara za maduka ya bidhaa za jumla na nyumba


 za kupangisha katika eneo la Karanga pia ni Mmiliki Serengeti Villa Bar and G house. Tukio hilo lilithibitishwa na Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Geofrey Kamwela

No comments:

Post a Comment