Waziri wanchi ofisi ya waziri mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia, amesema leo Jumatano Desemba 17, 2014, kuwa hatajiuzulu ng’o kutoka wadhifa wake, kufuatia kashfa ya kuvurugika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa kwenye baadhi ya maeneo hapa nchini Jumapili iliyopita. Badala yake, waziri Ghasia amesema wakurugenzi watano wamefutwa kazi, huku wenghine kadhaa wamesimamishwa na wengine kushushwa vyeo.

Waziri Ghasia, akitoka kwenye cnhumba cha mkutano na waandishi wa habafri mara baada ya kuzungumza nao

Waziri Ghasia na katibu mkuu wa TAMISEMI, Jumanne Sagini

Tangazo la waziri Ghasia alilotoa leo Jumatano Desemba 17, 2014, kwa waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam

Wakurugenzi watano wamesimamishwa kwazi


No comments:
Post a Comment