STAA wa filamu za Kibongo, Steve Nyerere baada ya kupokea habari za msiba aliungana na wanamuziki wa African Stars na kuchangisha michango mbalimbali kwa ajili ya kumsitiri marehemu walipokuwa katika hospitali ya wilaya Mwananyamala.
Marehemu Aisha Madinda atazikwa siku ya kesho Kigamboni jijini Dar es Salaam

No comments:
Post a Comment