Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, December 5, 2014

TAZAMA PICHA ZA ALLY KIBA AKIWA AFRIKA KUSINI KUSHOOT VIDEO YAKE MPYA

Alikiba amesafiri hadi jijini Cape Town, Afrika Kusini kwenda kushoot video mpya.
Inavyoonekana staa huyo amekwenda kushoot video ya wimbo wake ‘Mwana’ uliotoka miezi kadhaa iliyopita. Kiba ameshare picha kadhaa kwenye Instagram akiwa location huku moja anaonekana akiwa na dancers wa kike. 


No comments:

Post a Comment