Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, January 4, 2015

ALAN PARDEW KOCHA MPYA CRYSTAL PALACE

Klabu ya Crystal Palace imemtangaza rasmi Alan Pardew kama meneja wake mpya kwa kumpatia mkataba wa miaka mitatu na nusu.

Meneja huyo wa zamani wa klabu ya Newcastle United alikuwepo uwanjani siku ambayo klabu yake hiyo mpya ilikua ikiminyana na Aston Villa kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya 0:0 siku ya mwaka mpya.
Taarifa zinadai kuwa Pardew alikuwepo kwenye dimba la mazoezi la timu hiyo siku ya Ijumaa na sasa anakwenda kuwa mrithi wa menejaNeil Warnock aliyetimuliwa siku ya Krismasi.

No comments:

Post a Comment