Seneta kutoka Kenya Mike Sonko au unaweza kumwita
Billionaire anaingia tena kwenye headline baada ya picha ya gari yake yenye
rangi ya gold kuonekana katika hotel moja ya kifahari ndani ya jiji la Nairobi.
Kama ilivyokwa Mastaa wengine kutumia plate number za majina yao kwenye magari
kama alivyofanya msanii Diamond Platnumz kwa hapa
Tanzania basi kenya amefanya senetor huyo mwenye pesa sana
ambapo gari yake ni aina ya V8, japo
hajataja bei kamili ya pesa aliyonunulia
gari lakin nitakuletea mara pale nipatapo taarifa ubuyu ukimwagika picha ya
gari lake iko hapa chini
No comments:
Post a Comment