Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 5, 2015

MKUU WA JKT AWATAKA WANAOMALIZA MAFUNZO WASIJIUNGE NA MAKUNDI MAOVU


 MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA*JKT(MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA AMEWATAKA VIJANA WANAOHITIMU MAFUNZO YA JKT KUTOJIUNGA NA MAKUNDI YA KIUHALIFU BALI WAWE VIJANA WEMA KATIKA JAMII
 SEHEMU YA VIJANA 627 WALIOHITIMU MAFUNZO YA OPARESHENI MIAKA 50 YA MUUNGANO AWAMU YA PILI KWA MUJIBU WA SHERIA KATIKA KIKOSI CHA 822 JKT RWAMKOMA WILAYANI BUTIAMA
 TUPO TAYARI KUSIKILIZA
 MKUU WA JKT,MEJA JENERALI MUHUGA AKIWAPA HUSIA VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO
 MAZOEZI YA KUPITA VIKWAZO ILIKUWA SEHEMU YA MAONYESHO

 PICHA YA PAMOJA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YA MKOA WA MARA
 PICHA YA PAMOJA NA VIJANA WALIOHITIMU
 KUTOKA KUSHOTO MKUU WA WILAYA YA TARIME,HENJEWELE,GOLOI WA RORYA,MABULA WA BUTIAMA,MIRUMBE WA BUNDA NA MSOME WA MUSOMA

 KAMANDA WA KIKOSI CHA JKT RWAMKOMA,MEJA MSAKULO AKITOA NENO NA KUMKARIBISHA MEJA JENERALI MUHUGA

 VIKWAZO VINAPITWA NA VIJANA WA JKT



 HAPA KAZI TU
 KIJANA WA KIKE AKIONYESHA UHODARI WA KUPITA VIKWAZO.chanzo Shomari Binda


No comments:

Post a Comment