Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, February 25, 2015

AIBUUU::::SHILOLE NA NUH MZIWANDA WAPOST PICHA CHAFU MTANDAONI

Kupitia Account yake ya Instagram Nuh Mziwanda amepost picha hiyo akiwa na mpenzi wake Shilole "Shishi Baby" wakiwa bafuni huku Shilole akionekana amekenua "Kufurahi".



Picha hii imeleta mtazamo tofauti kwa baadhi ya mashabiki wao huku wengine wakifurahia na wengine kuonesha kukerwa na kitendo hicho.

No comments:

Post a Comment