Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, February 26, 2015

ARSENAL YATANDIKWA GOLI 3 KWA 1 NA MONACO

MSHAMBULIAJI WA ZAMANI WA MAN UNITED, DIMITAR BERBATOV AMBAYE SASA ANAKIPIGA AS MONACO YA UFARANSA AKIFUNGA BAO KATIKA MSITU WA MABEKI WA ARSENAL.
Ukisema aibu pia sawa tu, Arsenal imekubali kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa AS Monaco ya Ufaransa katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.Mechi hiyo imechezwa kwenye uwanja wa Arsenal wa Emirates huku AS Monaco iliyokuwa ugenini, ikiwakosa wachezaji wake watano wa kikosi cha kwanza kutokana na sababu mbalimbali.
Awali Monaco walionekana kuwa na tahadhari kubwa namba walivyoanza mechi hiyo. Lakini taratibu walianza kubadili mambo baada ya kupata bao la mapema.
Monaco wangeweza kufunga mabao mengi zaidi katika kipindi cha pili lakini hawakuwa makini kuzitumia nafasi walizozipata.
Arsenal 4-2-3-1: Ospina 7, Bellerin 4.5, Mertesacker 4.5, Koscielny 5, Gibbs 5, Coquelin 4.5 (Oxlade-Chamberlain 68, 7), Cazorla 5 (Rosicky 82), Sanchez 6, Ozil 4.5, Welbeck 5, Giroud 4 (Walcott 60, 6). Subs not used: Szczesny, Gabriel, Monreal, Chambers.
Goal: Oxlade-Chamberlain (90+1) 
Booked: Coquelin, Bellerin, Ozil 
Monaco 4-1-4-1: Subasic 7, Toure 7.5, Wallace Santos 8.5, Abdennour 8, Echiejile 7.5, Dirar (Kurzawa 82), Kondogbia 8, Fabinho 7, Joao Moutinho 9, Martial 8 (Bernardo Silva 84), Berbatov 8 (Ferreira-Carrasco 76, 8). Subs not used: Stekelenburg, Matheus Carvalho, Alain Traore, Diallo.
Goals: Kondogbia 38, Berbatov 53, Carrasco (90+4)
Booked: Echiejile, Moutinho 
Referee: Deniz Aytekin (Germany)
Attendance: 59,868
Ratings by Rob Draper 










No comments:

Post a Comment