KATIKA ukumbi wa Escape One jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia Jumapili kulikuwa na uzinduzi wa video za wasanii nyota watatu, Mh. Temba na Chegge kwa pamoja wakiwa na video yao ya Kaunyaka, huku Madee akiionyesha kwa mara ya kwanza Vuvula, kazi ambazo ziliwapagawisha kwa kiwango kikubwa mamia ya mashabiki waliojazana ukumbini hapo.
(PICHA NA: DENIS MTIMA / GPL)

No comments:
Post a Comment