Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, February 2, 2015

TAZAMA PICHA::HATIMAYE MCHEKESHAJI JOTI AMVISHA PETE ANAYEDAIWA KUWA MPENZI WAKE WA SIKU NYINGI

Kwa mujibuwa mtandao wa  JF, Mwigizaji  wa vichekesho Lucas Mhuvile, almaarufu kama Joti, anayepiga kazi kwenye kampuni ya Orijino Komedi, amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kwamba safari ya kuelekea kwenye taasisi muhimu zaidi duniani ya NDOA imewadia..
 Akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni Sylvatory a.k.a Mpoki, Joti alionekana mwenye furaha muda wote kwa kutimiza tendo hilo huku akiwa amealika watu wachache sana kuhudhuria tukio hilo.


 Dj Sek bado haijazithibitisha taarifa hizi.
 Kama ni kweli, tunampongeza sana na kumtakia kila la kheri yeye pamoja na mwenza wake

No comments:

Post a Comment