Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, November 15, 2013

MMILIKI WA BLOG YA BOSSNGASA ANUSURIKA KUTOLEWA UTUMBO, ASHONWA NYUZI NNE. TAZAMA PICHA HAPA


siku ya jana tar 14/112013 majira ya sa 5 usiku nilinusurika kumwagwa utumbo na jamaa mmoja  ambaye anaitwa Dikson kanje baada ya kutofautiana kauli, ila namshukuru mungu naendelea salama na mtuhumiwa ameshikiliwa na jeshi la police:


Namshuru mungu madaktari walinipokea vizuri na kunipa huduma haraka iwezekanavyo kwa kunishona nyuzi 4:

maumivu yeke si mchezo.Mtandao wetu unatoa pole sana kwa boss ngasa na apate unafuu mapema.
   

No comments:

Post a Comment