Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, March 1, 2015

Izzo Bizness: Bado sijafikia uwezo wa kufanya video ya thamani ya milioni 40



apper huyo ambaye wiki hii ameachia video na wimbo mpya uitwao ‘Kidawa’ aliomshirikisha Shaa, amedai kuwa nia ya kwenda kimataifa ipo na anajipanga kufika huko pia.
 “Natamani sana kufanya kazi nje ya nchi, kuna watu wametangulia wameenda na wameleta kazi nzuri tunaziona, lakini natamani na mimi nikienda nikirudi watu wasema ‘dah jamaa kwelia alienda,” Izzo alisema.


 “Bado sijaweza mimi kufika bajeti ya kwenda kumlipa mtu milioni 20, milioni 40. Kwasababu baada ya kulipa milioni 20, milioni 40 lazima ujue unafanyaje promotion ya nyimbo yako.”

Izzo ameongeza kuwa anapanga na muongozaji wake, Nick Dizzo nao kusafiri kwenda nje ya nchi kufanya video

No comments:

Post a Comment