IMENISIKITISHA,Nimesikia taarifa za kuenguliwa uanachama kwa
Mh.Zitto Kabwe ndani ya Chama alichoanzia siasa,alichokitumikia kwa Jasho na
mali,alichowekeza muda na akili yake kwa zaidi ya miaka 19.
Zitto amekuwa/anaendelea kuwachachu ya
mabadiliko kwa Vitendo
kwa Taifa letu.Uwezo wa kisiasa wa Kabwe adhabu yake sio kumfukuza,Demokrasia
ni lazima itumike.
Nakusihi kijana Mwenzangu,Mwanasiasa Mwenzangu na Mchumi
Mwenzangu kuwa,Taifa linakuhitaji sana wakati huu tunapopambana na ufanyaji
kazi kwa mazoea na kuleta "MABADILIKO KWA VITENDO"Hivyo usikate tamaa
watanzania watakuhesabia mema kwa yote unayoyafanya kwaajili ya Taifa letu.
No comments:
Post a Comment