Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Contractus ya Poland, Bw. Witold Kartzewski (wapili kulia) na watendaji wa kampuni hiyo, Daniel Junusz (kulia) na Honorata Musloviska Ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi9, 2015. Kampuni hiyo pamoja na mambo mengine bingwa katika ujenzi wa vihenge vya kisasa vyenye uwezo wa kuhifadhi tani nyingi za nafaka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Barrick yatunukiwa tuzo ya mdhamini mkuu wa mkutano wa kimataifa wa madini
Tanzania 2024
-
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akikabidhi
cheti cha tuzo ya udhamini mkuu wa mkutano wa kimataifa wa sekta ya madini
kwa...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment