Basi la kampuni ya Jordan lenye namba za usajili T650 AQZ,
linalofanya safari zake kati ya Mwanza na Moshi limepata ajali.Mpaka sasa mtu
mmoja anadaiwa amepoteza maisha baada ya kulaliwa na basi hilo.
DKT. NCHEMBA AMUAGA BALOZI WA MAREKANI NCHINI
-
Na Benny Mwaipaja, Dodoma
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa
Tanzania ina thamini mchango mkubwa wa Taifa la Marekani ka...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment